Unamiliki hoteli au kampuni ya utalii? Tukusaidie kupata wateja wa moja kwa moja kutoka mataifa ya Ulaya na Amerika — bila kuingia kwenye mitandao ya kati.
Jaza taarifa zako — tutawasiliana na wewe mara moja
Kamilisha malipo kwa kuingiza PIN kwenye simu yako. Utapokea uthibitisho kupitia email.
Hali ya Malipo
Tunawafikia wateja kutoka France, Germany, Italy, Spain na United States kupitia mitandao ya kijamii na Google Ads.
Tunaanza na uchambuzi wa website yako na kukusaidia kupata nafasi ya kwanza kwenye Google kwa maneno husika.
Pata wateja wa moja kwa moja bila kuingia kwenye mitandao ya kati kama Booking.com au Expedia.
Weka taarifa zako na chagua aina ya kikao unayotaka kufanya nasi.
Pia USSD kwenye simu yako na weka PIN ili kukamilisha malipo salama.
Timu yetu ya wataalamu itawasiliana na wewe na kuanza kazi mara moja.
Komisheni kwa Direct Bookings
Msaada wa Wateja
Ongezeko la Mapato
Muda wa Kuanza
Jiunge na makampuni mengi ya utalii na hoteli yaliyofanikiwa kupitia huduma zetu. Anza leo.